Maisha Ya Leo Ili Uonekane Una Upendo Kwa Ndugu Au Kwa Watu Wengine Basi Jitahidi Uwe Unatoa Hata Kile Kidogo Ulichonacho Hapo Utaonekana Una Upendo Kwao.
Umasikini Ni Mbaya, Ukiwa Masikini Hata Kama Una Upendo, Basi Upendo Wako Hautaonekana Kama Ukiwa Huna Kitu Cha Kutoa.
Sio kila Mtu Unayemuona ni Rafiki Anaweza Kuwa na Sifa na Vigezo vya Rafiki*Maana Urafiki MWEMA Hujidhihirisha kwa Jinsi Anavyoshirikiana na Wewe Kwenye Hali ya Matatizo Hivyo Basi Jifunze Kutofautisha Kati ya RAFIKIna JAMAA

Mali sio rafiki wa kudumu, lakini rafiki ni rasilimali ya kudumu"Kuwa mkweli kwa rafiki yako, thamini sana utu wake na elewa ubinadamu wake. Urafiki mwema ni hazina kubwa, unaoweza kukufaa sana sana.

Hamna kitu kizuri kama ukiaa sehemu watu wakaongelea wema wa mtu wako wa karibu na siyo madhaifu yake. Hakuna binadamu aliye mkamilifu ila tujenge tabia ya kuongelea watu vyema hususani wale ambao wamekua watu wema kwenye maisha yetu.