Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Denti yule sidhani kama atamuweza. Alikuwa anamsemesha binti kazama kwenye parablez tu. Ni mpenzi sana wa falsafa may be ajaribu kuingia kwa njia hiyo. Akitaka crush course ya Falsafa aseme na vitabu vya Beginners soft copy vipo!
[emoji116][emoji116]kwa mwendo huu pole sana...mijibaba mizengeaji ipo kila kona[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina uhakika kama nsamaka atapona mapema,yeye ni bingwa wa kulikoroga,sasa nijaribu kulikoroga mimi mimacho kodooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] tchaaaa
We achana nao, ng'ombe wameshateuliwa fanya uje uwachukue, haiwezekani uwe unavunja amri kumi. Njoo nikupe ndoa ufurahie maisha
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Yupo. Naona kazi zimemzidia. Atarudi bila shaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] naacha shemeji...jamani jakitoo yupo?namiss uwepo wake humu
Purukushani hazitaisha hadi mijibaba mizengeaji itulie[emoji23] [emoji23]Nipo. Nilikuwa sipo kwa masaa manne matano hivi nimekuta dadangu anataka kuhamishiwa Kibiti hata kabla hajapona vizuri. Purukushani hizi mpaka lini jamani?
Gospo ilinifariji sana,uliweza kunionea huruma,dadaako akarudi kwa upendo.Kichwa ngonjera zinamchanya maana anajitutumua wakati hana hata zizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji, ngonjera na gospo kipi kinabamba zaidi katika kusuuza roho ya upweke?
carbamazepine nimekwambia huyu mahirizi anayovaa shingoni na mandunguli ndunguli yanamchanganya.Lala mama,nisije kunywesha piriton bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji, usipambane na mwanamke hata siku moja. Hutashinda!Sina uhakika kama nsamaka atapona mapema,yeye ni bingwa wa kulikoroga,sasa nijaribu kulikoroga mimi mimacho kodooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] tchaaaa