Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inawezekana ukanyonga tai halafu ukaenda kusimamia harusi ya andjul na nsamaka tena au ukaja kwenye harusi yangu na Cole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna dalili zooote,akatoka hapo akahudhuria ya sammyluv na Quigley, na akajikuta ni mlinzi kwenye sherehe ya shimba na Jakitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu jeuri jamanii....

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tambo hizi utakua unamiliki mali ya kichina
andjul yupo na picha ya nsamaka huyu kachanganyikiwa na waganga alipoenda nyumbani kwake ni marue rue tu.

nsamaka yupo huku kapumzika hivi unadhani toka nianze kuuguza umesikia akilalamika.

Ila huyo jamaa anaetishia mgonjwa kumnywesha dawa kibabe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…