Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichwa ni askari aliyekomaa. Kuachwa achwa huku kumempatia uzoefu mkubwa sana. Nyie chezeni tu lakini mtakuja kushangaa Nsamaka anavuta hewa ya Kibiti [emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji sasa nipo imara.Hawa vijana siwapi nafasi kabisaaa,hivi ninavyoongea nsamaka amelala kwenye kiti anaangalia tamthilia ya kiphilipino
 
Gospo ilinifariji sana,uliweza kunionea huruma,dadaako akarudi kwa upendo.Kichwa ngonjera zinamchanya maana anajitutumua wakati hana hata zizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo ulikuwa unachanganya gospo na ndunguli ndunguli sasa unaumbuka ulitakiwa kuwa moto au baridi na sio uvuguvugu.

nsamaka kanivundisha natakiwa niwe moto tu.

We vuguvugu mzee wa ndunguli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…