myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌Wekeza kwenye bidii ya kazi na sio kutafuta Mchawi, wekeza kwenye muda na kuamini na sio kutafuta Mchawi, ila kama unahitaji kumfahamu Mchawi wako, basi tazama kwenye kioo, utakayemwona kwenye kioo ndio Mchawi wako, anakuroga huyo na hataki mafanikio yako, badili mtazamo wa unayemwona kwenye kioo ndio Mchawi wako na maisha yatabadilika kuanzia hapo
✔️✔️Wekeza kwenye bidii ya kazi na sio kutafuta Mchawi, wekeza kwenye muda na kuamini na sio kutafuta Mchawi, ila kama unahitaji kumfahamu Mchawi wako, basi tazama kwenye kioo, utakayemwona kwenye kioo ndio Mchawi wako, anakuroga huyo na hataki mafanikio yako, badili mtazamo wa unayemwona kwenye kioo ndio Mchawi wako na maisha yatabadilika kuanzia hapo
Vitu vingi kwenye dunia kwasasa havipo sawa, Watu wengi kwenye dunia kwasasa hawapo sawa, unayemwona hana tatizo leo wala sio ajabu kusikia kesho amejiua, tunaishi kwenye dunia ambayo watu wana vita nyingi rohoni mwao, ukipata wasaa wa kumnenea Mtu mema usiache, ukipata wasaa wa kumwambia Mtu unampenda fanya hivyo, watu wanahitaji sana faraja kutoka kwetu.
Wekeza kwenye bidii ya kazi na sio kutafuta Mchawi, wekeza kwenye muda na kuamini na sio kutafuta Mchawi, ila kama unahitaji kumfahamu Mchawi wako, basi tazama kwenye kioo, utakayemwona kwenye kioo ndio Mchawi wako, anakuroga huyo na hataki mafanikio yako, badili mtazamo wa unayemwona kwenye kioo ndio Mchawi wako na maisha yatabadilika kuanzia hapo
Cheo kisikupe dharau, Utajiri usikutenganishe na Watu, Umaarufu usikupe jeuri, Kipaji kisikupe majivuno, yani chochote ulichonacho leo fahamu ni kudra za Mwenyezi Mungu na kesho inaweza kuwa zamu ya mwingine, kuwa makini sana nyakati za ushindi.
Ugonjwa mkubwa kwa Vijana wadogo ni kuishi kwenye leo, kuabudu na kusifia, ni ugonjwa ule ule wa kupata kazi kwasababu ya kulamba miguu na sio vigezo, tuwakumbushe Vijana kwenye umri mdogo kuwa hakuna Mshairi mzuri mwenye mwisho mzuri, kazi na vigezo, bidii na uthubutu na sio vinginevyo.

SawaTupo kwenye dunia ya kulaumu kuliko kutoa ushauri ama kushikana mkono, Vijana wakipoteza mwelekeo tunarahisisha kwa kusema madawa, Mabinti wakipoteza dira ni rahisi kusema wana tamaa, tunampa ‘Mbwa’ jina baya ili tumpige mawe ila uhalisia Jamii haina huruma tena na haitazami sababu bali kuhukumu pekee.
Tupo kwenye dunia ya kulaumu kuliko kutoa ushauri ama kushikana mkono, Vijana wakipoteza mwelekeo tunarahisisha kwa kusema madawa, Mabinti wakipoteza dira ni rahisi kusema wana tamaa, tunampa ‘Mbwa’ jina baya ili tumpige mawe ila uhalisia Jamii haina huruma tena na haitazami sababu bali kuhukumu pekee.
Cheo kisikupe dharau, Utajiri usikutenganishe na Watu, Umaarufu usikupe jeuri, Kipaji kisikupe majivuno, yani chochote ulichonacho leo fahamu ni kudra za Mwenyezi Mungu na kesho inaweza kuwa zamu ya mwingine, kuwa makini sana nyakati za ushindi.
📌📌Tupo kwenye dunia ya kulaumu kuliko kutoa ushauri ama kushikana mkono, Vijana wakipoteza mwelekeo tunarahisisha kwa kusema madawa, Mabinti wakipoteza dira ni rahisi kusema wana tamaa, tunampa ‘Mbwa’ jina baya ili tumpige mawe ila uhalisia Jamii haina huruma tena na haitazami sababu bali kuhukumu pekee.
Kuwa makini na wanaokupigia sana makofi, kuwa makini sana na wanaosema tupo pamoja na jipe tahadhari na Watu ambao wapo kwako kisa una kitu, tumewahi kushuhudia watu wakilia wakimaanisha furaha na kucheka wakimaanisha huzuni, hakuna kanuni kuhusu dhamira ya Mwanadamu kwako zaidi ya malengo yake binafsi.
✔️✔️Tupo kwenye dunia ya kulaumu kuliko kutoa ushauri ama kushikana mkono, Vijana wakipoteza mwelekeo tunarahisisha kwa kusema madawa, Mabinti wakipoteza dira ni rahisi kusema wana tamaa, tunampa ‘Mbwa’ jina baya ili tumpige mawe ila uhalisia Jamii haina huruma tena na haitazami sababu bali kuhukumu pekee.
Ipo siku utalia na ipo siku utacheka, ipo siku utapata na ipo siku utakosa, yote ni maisha, amini kwenye nyakati, kumbuka ni siku mbaya ila sio maisha mabaya.
Kuwa makini na wanaokupigia sana makofi, kuwa makini sana na wanaosema tupo pamoja na jipe tahadhari na Watu ambao wapo kwako kisa una kitu, tumewahi kushuhudia watu wakilia wakimaanisha furaha na kucheka wakimaanisha huzuni, hakuna kanuni kuhusu dhamira ya Mwanadamu kwako zaidi ya malengo yake binafsi.
Kuwa makini na wanaokupigia sana makofi, kuwa makini sana na wanaosema tupo pamoja na jipe tahadhari na Watu ambao wapo kwako kisa una kitu, tumewahi kushuhudia watu wakilia wakimaanisha furaha na kucheka wakimaanisha huzuni, hakuna kanuni kuhusu dhamira ya Mwanadamu kwako zaidi ya malengo yake binafsi.
Ugonjwa mkubwa kwa Vijana wadogo ni kuishi kwenye leo, kuabudu na kusifia, ni ugonjwa ule ule wa kupata kazi kwasababu ya kulamba miguu na sio vigezo, tuwakumbushe Vijana kwenye umri mdogo kuwa hakuna Mshairi mzuri mwenye mwisho mzuri, kazi na vigezo, bidii na uthubutu na sio vinginevyo.
SawasawaInawezekana kila Mtu ni mbaya kwenye simulizi zake ila usisahau popote penye simulizi za ubaya fahamu kuna wema ulitangulia, wema ukapuuzwa na uungwana ukachukuliwa poa, ndipo ubaya ukachukua nafasi.