ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
BVB 09 ametuwakilisha vyema sanaChelsea FC transfer news: Pierre-Emerick Aubameyang 'close to joining Premier League champions in £65m deal'
View attachment 542725
Kuna kipindi hii ilitaka kuniua. Nimekula ugali na mlenda halafu nikaanza kupambana nayo. Hatari sana!Smirn off ice
NyeusiNywele
KichafuKichwa
DressingHair
Mkuu toka Cole Williams afanye yake
Siku hizi ananikimbia kimbia tu hata salam hamna
Najiulizq ndio mbinu alikuwa anatumia kunipokonya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi hii ilitaka kuniua. Nimekula ugali na mlenda halafu nikaanza kupambana nayo. Hatari sana!
Dar hali ya hewa imebadilika
Walaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi kukuharibia mdogo wanguWe Mzee jiangalie ww..
Kiungo kidogo ila kina mengi
Nasikia njaaaa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] akikujibu....Amna penzi lake tamu mpaka linanifanya muda wote niwenae lakini tupo pamoja vip sammyluv mzima.
Nimekula chenza mbili lakini haitikisiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Parables kwishney kwa kweli. Mapenzi acheni yaitwe mapenzi!
Carba alikuwa wako tena kiroho safi.Ukamdharau,ukaparamia mazizi yetu,carba akaondoka,akakutana na Cole katoka Masaki analia[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24],akamnyamazisha,akaulizwa sababu ya machozi yake kumwagika kizembe vile,Cole akajibu "nimeona mipicha ya kutisha kwa ISIS,naogopa",carba akamkumbatia Cole, kamficha,na amemficha kweli kweli,hakuna mambo ya parables tena[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Usicheke mkuu. Kidogo niue kaini kangu. Alcohol poisoning. Na kuanzia siku hiyo nikawa na ugomvi na vilevi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sammyluv umesema yupo wapi???ho chi minh na andjul angalia hii sentensi vizuri hivi haidhibitishi huyu ndugu yangu alinitenga kweli kweli hadi hajui nini ninaendelea juu yangu hivi karibuni. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila inanibidi nijibu tu.
sammyluv mzima ila yupo na family yake kwa sasa