myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππSauti ya maskini uwa haiendi mbali pambana upate chako ili ukiongea usikilizwe
SawasawaAnza siku yako kwa matumaini na moyo wa shukrani. Usiruhusu jana iharibu leo. Kila siku mpya ni nafasi mpya ya kujaribu tena na kuwa bora kuliko jana.
Usisahau tabasamu lako, linaweza kuleta nuru kwa mtu na kukufanya uanze siku yako kwa amani na furaha
Nakubaliana na hiliAnza siku yako kwa matumaini na moyo wa shukrani. Usiruhusu jana iharibu leo. Kila siku mpya ni nafasi mpya ya kujaribu tena na kuwa bora kuliko jana.
Usisahau tabasamu lako, linaweza kuleta nuru kwa mtu na kukufanya uanze siku yako kwa amani na furaha
ππHaijalishi Utakuwa Mwema kiasi gani ila kamwe huwezi kumtosheleza Mtu mwenye Tamaa
β οΈβ οΈβ οΈKama ambavyo husifii kila Mtu pale mmoja anapokufanyia jambo jema. Hivyo hivyo usilaumu kila mtu pale mmoja anapokufanyia jambo baya.
πππKama ambavyo husifii kila Mtu pale mmoja anapokufanyia jambo jema. Hivyo hivyo usilaumu kila mtu pale mmoja anapokufanyia jambo baya.
Hiki lipo kabisaHaijalishi Utakuwa Mwema kiasi gani ila kamwe huwezi kumtosheleza Mtu mwenye Tamaa
Hakuna kauli ya uongo kama βtuko nyuma yakoβ
Nakubaliana na weweMtu sahihi kwenye Maisha yako haangaliwi Kwa kigezo cha Pesa alizonazo zingatia tabia, utu wake, thamani yake kwako na upendo wake kwako
βοΈβοΈUzuri na Nguvu zitaisha kinachodumu ni wema uliopanda kwenye mioyo ya watu
β οΈβ οΈUzuri na Nguvu zitaisha kinachodumu ni wema uliopanda kwenye mioyo ya watu
Usikurupuke kutolea maamuzi vitu ulivyovisikia tu bila ya kuwa na uthibitisho navyo. Watu wapuuzi sana hasa wanapopata maneno na kukuletea.
β οΈβ οΈFuraha ya kutengenezewa haidumu, Jipende muombe Mungu wako na tengeneza kesho yako ilo bora
βοΈβοΈWatu wema ivi bado wapo na kama wapo,tuishi nao kama chemli/mfiche na sio mshuma/atazima.
ππWatu wema ivi bado wapo na kama wapo,tuishi nao kama chemli/mfiche na sio mshuma/atazima.
ππMatarajio ni mengi kwenye malengo yao, weka matarajio yako kwenye lengo lako