Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sema Sis. Rekodi nyingine ambayo haitakaa ivunjwe ni hii hapa:

Goddess ISIS mpaka sasa ana likes approximately 135,000. Ukigawanya hizi likes na siku 30 tangu uzi huu uanzishwe ina maana kila siku alikuwa anapata likes 4, 500. Yes, likes elfu nne na mia tano kwa siku kwa siku thelathini mfululizo.

Record hii ikivunjwa haki ya nani aliyeivunja hata kama ikitokea akamuoa mmojawapo wa dada zangu humu (ninao sita), sitamtoza mahari!

Again, congratulations Goddess ISIS [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mambo ya kawaida shemeji. Siku hizi kidogo nimekua na nimejifunza kuwa njia nzuri wakati mwingine ni kupotezea tu. Labda mtu akizidi sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiangalia kwenye uzi huu unaweza ukaona kama ni member wageni kutokana na ushiriki wetu kuwa hafifu hapo kabla,wapo watu wana miaka 4 hadi 5 lakini comments hazifiki hata 50,na zote kashushuliwa.Wengi tulipoteza ujasiri wa Ku comment kwa hofu ya kashushuliwa na wajuaji.Lakini kwenye uzi wetu tumejuana hata tukikutana ugenini tunapeana like tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ntaoa kwa njia nyingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…