Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Pokea sarumbesa ya likeAsante sana Muheshimiwa Spika
Muda hauruhusu!Napenda kuuliza swali la nyongeza
Yes just in 30 days30 days
Kuna mwongozo wa spikaNapenda kuuliza swali la nyongeza
23:3523:30
Let us be part of history30 mins remain
Mh. Ghazwat nakuomba tena, please kaa chini. Muda wako umeisha please kaa chini. Kwa mara ya mwisho kabla sijaita polisi Mh. Ghazwat mbunge wa Kiembesamaki please kaa chini!Asante sana Muheshimiwa Spika
24 minutes to goTeh teh teh teh
Ya sita saa naneYa tano Chato
Ulishawahi kufika Ukonga?Nina mtambo wa kutakatisha hela
Mchagua jembeHongera jembekillo
Kuna mmoja juzi kati kanifuata hadi huku,nimempa jibu moja la kumkwaza likiwa na emoji za kucheka hadi leo hanipi like[emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini namtwanga na like kila akipostWakati mwingine inasaidia hebu fikiria mtu ukimkimbia leo ujue kesho ukiingia tena jukwaa hilo atakufuata tena na ukikimbia atajiona kiboko yako. Ya nn kukosa uhuru ndan ya JF. Kule siasan wapo hivyo,mtu akiamua kukuandama anakuandama kweli.
Kuna mmoja alikua ananiandama kila kona kila jukwaa hadi kwenye threads zangu. Nikampa ukweli akakosa sababu ya kuniandama
Swali la nyongeza MheshimiwaMh. Ghazwati nakuomba tena, please kaa chini. Muda wako umeisha please kaa chini. Kwa mara ya mwisho kabla sijaita polisi Mh. Ghazwat mbunge wa Kongwa please kaa chini!
Chelsea 8-2 Fulhammatokeo
Njia gani mkuu?Ntaoa kwa njia nyingine..