Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli. Ni kupima upepo tu. Mtu akikuandama huyo basi ligi haikwepeki. Ila ligi za matusi tena yale makubwa ya kutukaniana mpaka mama, hizo huwa nazikwepa mpaka niwe cornered kabisa kabisa.

Jenerali mmoja wa jeshi la Ufaransa (kama sijakosea) aliwahi kusema kwamba "Usipigane vita vyo vyote kama ushindi wa vita hivyo hautakupatia faida yo yote"

Ni kanuni nzuri kuizingatia kila inapowezekana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…