Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chagua vita vya kupigana
 
Binadamu aisee tuko walafi kuliko hata fisi. Nyumba 70 zote za nini? Unawagawia ukoo mzima kila mtu nyumba yake ama?

Ila kama ni pesa zako umezipata kihalali sawa. Kama ni hizi za upigaji yaani ni unyama na ulafi uliopitiliza kimo!
Mkuu huu ni uharibifu tu mali na sifa za kijinga na ufisadi na kuwanyima haki wanyonge
 
Nipe mji nimtwange na likes hadi avimbiwe
Mkuu humu ni furaha tu,tukitoka huko tunako kwazwa kila siku,tuna kimbilia humu angalau kujiliwaza,ukikutana na mwingine anakuharibia hauna haja ya kulipiza,unaenda nae anavyotaka lakini kwa kumpa analo stahili.Muhimu tunao endana tumekuwa pamoja,jambo la kumshukuru Mungu.
 
Waheshimiwa waandishi wa habari sikutendewa haki kabisa. Muheshimiwa Spika anaona Bunge ni taasisi ya Serikali siyo!
Kwani Mh. Ghazwat ungekaa chini na kuliheshimu bunge ungepungukiwa na nini? Tena inasemekana ulimwita Mh. Spika kwa kutumia neno baya. Eti ulisema yeye ni fala tu. Ni kweli Mh. Ghazwat ulitumia neno hilo la dharau na lisilo na maadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…