myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ujumbe huu muhimu sanaKati ya watu unaotakiwa kuishi nao kiumakini sana ni watu wa karibu yako,ni watoaji wazuri wa taarifa zako bila kujali yatakayojiri baadaye,wanaweza kuchochea furaha yako au kuiharibu kabisa,Kumbuka si kila aliyeko upande wako ni wako wengine ni mamluki.
📌📌Asiye na imani na kesho yako hawezi kuwa mwaminifu kwako
Hili la kuzingatiaUnaweza ukatibu ugonjwa ila ukashindwa kumtibu mgonjwa
SawaTunapambana kujiongeza hatupambani kuwa wakamilifu
NI KWELIUnaweza ukatibu ugonjwa ila ukashindwa kumtibu mgonjwa
SawasawaKwenye maisha lazima uchague mambo ya kukomaa nayo na kuyapa muda wako vinginevyo maisha yana mambo mengi ya kukuchagua na kukomaa na wewe na utaishi hadithi ambayo wewe sio mwandishi hivyo hufahamu ilipoanzia wala itakapo ishia
HEKIMA..Hekima ni uwezo wako wa kuingia sehemu na kujichanganya na watu na kutoka bila watu kujua status yako
SawasawaMatatizo ni sehemu ya maisha,jifunze kuishi nayo kwa furaha!!
UjumbeKitu Cha Kutisha Kuhusu Maisha Unaweza Usiwe Miongoni Mwa Wale Watakao Furahia Hicho Unachokipambania Kwa Sasa