myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukiitafuta sababu ya kukata tamaa utaipata, na ukiitafuta sababu ya kutokukata tamaa pia utaipata. Hakuna kitu kinachowafurahisha watu kama kukukuta pale pale walipokuacha. Kila wakati unapopata nafasi ya kupiga hatua basi piga hatua zako kuelekea mbele.
SawaKwa zama tulizopo sasa kazi ya kichwa imegeuka kua ni kushikilia tu macho na masikio na si kufikiri tena
Ulichoandikiwa kua nacho, kua na bidii nacho..!!
Ukiitafuta sababu ya kukata tamaa utaipata, na ukiitafuta sababu ya kutokukata tamaa pia utaipata. Hakuna kitu kinachowafurahisha watu kama kukukuta pale pale walipokuacha. Kila wakati unapopata nafasi ya kupiga hatua basi piga hatua zako kuelekea mbele.
Ukiitafuta sababu ya kukata tamaa utaipata, na ukiitafuta sababu ya kutokukata tamaa pia utaipata. Hakuna kitu kinachowafurahisha watu kama kukukuta pale pale walipokuacha. Kila wakati unapopata nafasi ya kupiga hatua basi piga hatua zako kuelekea mbele.
Siri ya kupata unachokitaka ni kuvumilia unayopitia.
IMANI haifanyi mambo kuwa rahisi bali kuwezekana
HILI PIA NAKUBALIUbaya una mashabiki kuliko wema, ujinga una umati kuliko uerevu, ongo una mapokeo kuliko ukweli na chuki inasambaa kuliko upendo.
Hakuna mtu mzuri kwa kila mtu, Na hakuna mtu mbaya kwa kila mtu, Endelea kuwa mtu mzuri kwa wale wanaojua Thamani yako tu., hakuna mzinga wa nyuki unaobeba nyuki pekee..Asali lazma, kama umewah tendewa baya fkiria na mazuri mengine uliowahi tendewa pia
✔️✔️✔️Usiishi Vibaya Leo Kwasababu Tu Unataka Kuishi Vizuri Kesho. Huenda Kesho Unaweza Kupata Nyama Unayoitafuta Leo na Usiwe na Meno ya Kuitafuna.
Hakuna mtu mzuri kwa kila mtu, Na hakuna mtu mbaya kwa kila mtu, Endelea kuwa mtu mzuri kwa wale wanaojua Thamani yako tu., hakuna mzinga wa nyuki unaobeba nyuki pekee..Asali lazma, kama umewah tendewa baya fkiria na mazuri mengine uliowahi tendewa pia
Uko sahihi na hili piaKuna Vitu Vingi Kwenye Maisha Vina Thamani kuliko Pesa, ila Huwezi Kuviona Kama Hauna Pesa..
Kufanikiwa Sio Kuwa Na Hela Tu,Hata Kujitambua Wew ni Nani,Unatakiwa Kufanya Nini,Una Marafiki Wa aina gan,Mnakaa maeneo gani Na Kwa Mda gan,Haya Pia Ni Mafanikio Makubwa San.
Mafanikio yanahitaji kifua, Ukiyatangaza kabla hujayapata Kuna hatari ya kutoyafikia..
Na ukiyasimulia baada ya kuyapata Kuna uwezekano wa kuyapoteza..
Kwasababu ya husda na chuki, ficha neema zako.
Kufanikiwa Sio Kuwa Na Hela Tu,Hata Kujitambua Wew ni Nani,Unatakiwa Kufanya Nini,Una Marafiki Wa aina gan,Mnakaa maeneo gani Na Kwa Mda gan,Haya Pia Ni Mafanikio Makubwa San.
SahihiShoka likifika msituni, miti husemaga ule mpini ni mwenzetu yule!.."
Buibui hutembea kwa kasi na vizuri zaidi katika utandu wake (njia yake) kuliko nje ya utandu wake. Binadamu hufanikiwa kwa wepesi na vizuri zaidi katika wito wake kuliko nje ya wito wake. Mtihani wetu ni kuutambua wito wako na kuwa tayari kuuitikia.
Sawa kabisaKuna safari zingine hazitaki msafara,inabidi utembee mwenywe..Hakuna ndugu,hakuna wazazi,hakuna washikaji,hakuna partners,hakuna kupost...Yaani Kimya kimya wewe na Mungu wako..Washikaji,jamii na wengineo wapo tu,utawakuta kama ulivyowaacha.
✅️✅️Kuishi ni kugusa maisha ya watu kwa matokeo ya kauli na kazi za akili na mikono yako kwa kutoa fursa, ridhiki na matumaini kwa wengine.
Kilichoandaliwa na mwenzako kinaweza kisiwe bora vile ulitaka au kikawa bora zaidi ya ulivyotaka muhimu ni kumwelekeza iwapo hakina ubora na iwapo kakuzidi usichukie bali jifunze kwake.
Kila mtu akitulia bila papara ataona jinsi ambavyo Mungu anatenda kwenye maisha yake bila kujali dini yake.. Atauona ukuu wake usio na Dini, kabila au tabaka.