Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Best song
Hata mwizi hawezi kuja kuiba kwako kama hauna vitu vya thamani. We unafikiri ni kwa nini? Thamani... thamani MTU WANGU! Jiongeze kwa KUJIONGOZEA THAMANI kila siku kwenye maisha YAKO. Hata huyo MKEO anakuheshimu kwa sababu anaijua thamani yako!

Kweli kabisaHata mwizi hawezi kuja kuiba kwako kama hauna vitu vya thamani. We unafikiri ni kwa nini? Thamani... thamani MTU WANGU! Jiongeze kwa KUJIONGOZEA THAMANI kila siku kwenye maisha YAKO. Hata huyo MKEO anakuheshimu kwa sababu anaijua thamani yako!
Kweli kabisa hiliuoga unaendelea KUUA ndoto za watu wengi kwenye maisha kuliko kitu kingine chochote kile. Uoga unatesa sana; hasa ule uoga wa watu “watanionaje”; uoga wa watu “watanisemaje”; uoga wa watu “watanicheka”. Hivi siku ukilala njaa hao unaowaogopa watakuletea chakula?
✅️✅️Ukweli ni kuwa kuishi kwako hapa DUNIANI kutakuwa na THAMANI zaidi kama utafanyika MAJAWABU kwenye maisha ya watu wengine. Na thamani yako utaifahamu kisawa sawa siku ambayo UTATAMBUA KUWA ULIKUJA HAPA DUNIANI KUFANYA NINI.
SawasawaUkweli ni kuwa kuishi kwako hapa DUNIANI kutakuwa na THAMANI zaidi kama utafanyika MAJAWABU kwenye maisha ya watu wengine. Na thamani yako utaifahamu kisawa sawa siku ambayo UTATAMBUA KUWA ULIKUJA HAPA DUNIANI KUFANYA NINI.
Ukweli ni kuwa kuishi kwako hapa DUNIANI kutakuwa na THAMANI zaidi kama utafanyika MAJAWABU kwenye maisha ya watu wengine. Na thamani yako utaifahamu kisawa sawa siku ambayo UTATAMBUA KUWA ULIKUJA HAPA DUNIANI KUFANYA NINI.
Sawaadui wa kwanza katika maisha yako unayepaswa kumkimbia ni SIFA. Ukipenda sifa unakuwa mjinga. Ukipenda sifa unakuwa kama kipofu anayeoona. Sifa ina tabia ya kuifunga akili na kubaki kama punguani. Siku akili zikirudi unagundua kuwa ulikuwa MJINGA ASIYE NA AKILI!
✔️✔️adui wa kwanza katika maisha yako unayepaswa kumkimbia ni SIFA. Ukipenda sifa unakuwa mjinga. Ukipenda sifa unakuwa kama kipofu anayeoona. Sifa ina tabia ya kuifunga akili na kubaki kama punguani. Siku akili zikirudi unagundua kuwa ulikuwa MJINGA ASIYE NA AKILI!
📌📌uoga unaendelea KUUA ndoto za watu wengi kwenye maisha kuliko kitu kingine chochote kile. Uoga unatesa sana; hasa ule uoga wa watu “watanionaje”; uoga wa watu “watanisemaje”; uoga wa watu “watanicheka”. Hivi siku ukilala njaa hao unaowaogopa watakuletea chakula?
👍👍adui wa kwanza katika maisha yako unayepaswa kumkimbia ni SIFA. Ukipenda sifa unakuwa mjinga. Ukipenda sifa unakuwa kama kipofu anayeoona. Sifa ina tabia ya kuifunga akili na kubaki kama punguani. Siku akili zikirudi unagundua kuwa ulikuwa MJINGA ASIYE NA AKILI!
Sawasawamamlaka yamewaangusha watu wengi sana maishani. Hakuna kilevi kibaya kama mamlaka! Mamlaka ni hatari sana kuliko hata bangi, ndio maana pale unapojikuta umeaminiwa na kupewa mamlaka basi hakikisha rafiki yako wa karibu anakuwa AKILI YAKO.
Sawasawamamlaka yamewaangusha watu wengi sana maishani. Hakuna kilevi kibaya kama mamlaka! Mamlaka ni hatari sana kuliko hata bangi, ndio maana pale unapojikuta umeaminiwa na kupewa mamlaka basi hakikisha rafiki yako wa karibu anakuwa AKILI YAKO.
Ukweli ni kuwa kuishi kwako hapa DUNIANI kutakuwa na THAMANI zaidi kama utafanyika MAJAWABU kwenye maisha ya watu wengine. Na thamani yako utaifahamu kisawa sawa siku ambayo UTATAMBUA KUWA ULIKUJA HAPA DUNIANI KUFANYA NINI.
usipokuwa makini basi mdomo unaweza kuponza kichwa. Kabla hujaamua kufungua mdomo wako hebu jiulize; Hiki nachotaka kusema kina umuhimu? Kina ukweli? Lazima nikisema? Kitabomoa ama kitajenga? Tafakari sana juu ya unachotaka kusema kabla ya kukisema.