myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maisha ni kama safari ndefu tembea kwa mwendo wako usiige mwendo wa mtu mwingine na ukichoka njiani pumzika upate nguvu ya kuendelea, usiwakatishe tamaa wengine watakie safari njema.
Wengi huanza bila kujua watapita milima gani, watakutana na nani, au watapoteza nini njiani. Lakini kinachoweka thamani katika safari ya maisha si wapi umefika tu, bali pia namna ulivyoendelea mbele hata ulipochoka, namna ulivyoinuka baada ya kuanguka.
Life ni kitu cha ajabu sana, unahangaika kutafuta siri ya mafanikio, kumbe siri iko kwenye vitu vidogo tulivyokuwa tunapuuza kila siku.
Life ni kitu cha ajabu sana, unahangaika kutafuta siri ya mafanikio, kumbe siri iko kwenye vitu vidogo tulivyokuwa tunapuuza kila siku.
βοΈβοΈβοΈMaana nzima ya kuishi maisha ni kuishi wakati unayo maisha, sio kutafuta ili uishi. Maisha hayakusubiri uyaishi, maisha yanakwisha. Safari ya mafanikio ndio mafanikio yenyewe, unachopata baada ya hii safari ni mwisho wa mafanikio. Jitahidi kufurahia safari yako kuliko uendapo.
Maana nzima ya kuishi maisha ni kuishi wakati unayo maisha, sio kutafuta ili uishi. Maisha hayakusubiri uyaishi, maisha yanakwisha. Safari ya mafanikio ndio mafanikio yenyewe, unachopata baada ya hii safari ni mwisho wa mafanikio. Jitahidi kufurahia safari yako kuliko uendapo.
ππWengi huanza bila kujua watapita milima gani, watakutana na nani, au watapoteza nini njiani. Lakini kinachoweka thamani katika safari ya maisha si wapi umefika tu, bali pia namna ulivyoendelea mbele hata ulipochoka, namna ulivyoinuka baada ya kuanguka.
Wengi huanza bila kujua watapita milima gani, watakutana na nani, au watapoteza nini njiani. Lakini kinachoweka thamani katika safari ya maisha si wapi umefika tu, bali pia namna ulivyoendelea mbele hata ulipochoka, namna ulivyoinuka baada ya kuanguka.
ukijipata kisawa sawa katika safari yako ya maisha, watu wa kwanza watakao kupinga ni watu wako wa karibu kama ndugu na marafiki. Hii ni sawa na pale utakapofungua biashara halafu ukategemea watu wanaokujua ndio wawe wateja wako, nakwambia utasubiri sana!
Matatizo ni sehemu ya maisha yetu, huwezi kuyakwepa hata kidogo lakini unaweza kuyapuuza tu na kuyachukulia kama mlango wa FURSA. Sikia, matatizo mengine yanahitaji UKAE KIMYA TU halafu uone yatakufanya nini kwenye maisha haya.

β οΈβ οΈβ οΈMatatizo ni sehemu ya maisha yetu, huwezi kuyakwepa hata kidogo lakini unaweza kuyapuuza tu na kuyachukulia kama mlango wa FURSA. Sikia, matatizo mengine yanahitaji UKAE KIMYA TU halafu uone yatakufanya nini kwenye maisha haya.