myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mpango wako ujao — usimwambie mtu.
Umeoa/umeolewa — kimya.
Umeanzisha biashara — kimya.
Umeanza mazoezi — kimya.
Umenunua nyumba — kimya.
Umeenda likizo — kimya.
Kumbuka: UTULIVU ni NGUVU.
1. Usiogope kuonekana mjinga.
2. Mjinga anayejifunza ni bora kuliko msomi aliyesimama.
3. Tafuta maarifa.
4. Tafuta watu sahihi.
5. Tafuta nafasi ya kujaribu
1. Penda kile unafanya.
2. Fanya kwa ubunifu.
3. Fanya kwa nidhamu.
4. Fanya kwa uaminifu.
5. Fanya hadi kikulipe.
1. Penda kile unafanya.
2. Fanya kwa ubunifu.
3. Fanya kwa nidhamu.
4. Fanya kwa uaminifu.
5. Fanya hadi kikulipe.
1. Usiogope kuonekana mjinga.
2. Mjinga anayejifunza ni bora kuliko msomi aliyesimama.
3. Tafuta maarifa.
4. Tafuta watu sahihi.
5. Tafuta nafasi ya kujaribu
Mpango wako ujao — usimwambie mtu.
Umeoa/umeolewa — kimya.
Umeanzisha biashara — kimya.
Umeanza mazoezi — kimya.
Umenunua nyumba — kimya.
Umeenda likizo — kimya.
Kumbuka: UTULIVU ni NGUVU.
Mpango wako ujao — usimwambie mtu.
Umeoa/umeolewa — kimya.
Umeanzisha biashara — kimya.
Umeanza mazoezi — kimya.
Umenunua nyumba — kimya.
Umeenda likizo — kimya.
Kumbuka: UTULIVU ni NGUVU.
Unapoamka asubuhi maombi muhimu kuomba ni;
1: Mungu akusaidie usidhulumiwe haki yako
2: Mungu akusaidie uwe mwenye hekima na heshima
3: Mungu akupe Amani, Furaha, Afya njema ya mwili na akili hata wakati wa dhiki kuu
4: Mungu akuinulie watu sahihi
5: Mungu akurehemu na kukubariki
1.Watu wanabadilika haraka kuliko unavyofikiri.
2.Leo ni wako, kesho ni wa mwingine.
3.Usiweke moyo wako mikononi mwa kila mtu.
4.Wengi hawataki ushinde — wanataka ubaki kama wao.
5.Ukipita walipoishia wao , unageuka tishio
1.Watu wanabadilika haraka kuliko unavyofikiri.
2.Leo ni wako, kesho ni wa mwingine.
3.Usiweke moyo wako mikononi mwa kila mtu.
4.Wengi hawataki ushinde — wanataka ubaki kama wao.
5.Ukipita walipoishia wao , unageuka tishio
✔️✔️✔️1. Hakuna mtu anayeishi kwa ahadi za wengine.
2.Leo wakupe,
3.kesho wakunyime,
4. Utabaki na manung'uniko tu .
5.Jifunze kutegemea juhudi zako.
PS: Zinaumiza mwanzo, lakini hujenga misuli ya uhuru.
1. Hakuna mtu anayeishi kwa ahadi za wengine.
2.Leo wakupe,
3.kesho wakunyime,
4. Utabaki na manung'uniko tu .
5.Jifunze kutegemea juhudi zako.
PS: Zinaumiza mwanzo, lakini hujenga misuli ya uhuru.
1. Kujiamini ni silaha.
2. Kujiamini kunajengwa.
3. Kujiamini kunazalisha uthubutu.
4. Uthubutu huleta nafasi.
5. Nafasi huleta matokeo.
1. Kujiamini ni silaha.
2. Kujiamini kunajengwa.
3. Kujiamini kunazalisha uthubutu.
4. Uthubutu huleta nafasi.
5. Nafasi huleta matokeo.
1. Kujiamini ni silaha.
2. Kujiamini kunajengwa.
3. Kujiamini kunazalisha uthubutu.
4. Uthubutu huleta nafasi.
5. Nafasi huleta matokeo.
NAKUBALI1. Usijilinganishe.
2. Usijione mdogo.
3. Usikate tamaa.
4. Usisahau thamani yako.
5. Wewe bado unaweza, Kaza
NakubalianaMambo 5 Ya Kuomba Kwa Mungu:
1. Hekima.
2. Uvumilivu.
3. Amani.
4. Baraka zenye mwelekeo.
5. Roho ya kushukuru hata kwa kidogo
Mambo 5 Ya Kuomba Kwa Mungu:
1. Hekima.
2. Uvumilivu.
3. Amani.
4. Baraka zenye mwelekeo.
5. Roho ya kushukuru hata kwa kidogo
1. Uzuri wa haya maisha unaweza ukakata tamaa lakini isikatike.
2.Unaweza ukalia usiku kucha halafu faraja ikaja asubuhi.
3. Ingia siku mpya bila msamiati wa kukata tamaa anguka mara tatu, inuka mara saba.
1. Uzuri wa haya maisha unaweza ukakata tamaa lakini isikatike.
2.Unaweza ukalia usiku kucha halafu faraja ikaja asubuhi.
3. Ingia siku mpya bila msamiati wa kukata tamaa anguka mara tatu, inuka mara saba.