Kuishi ni kuegemeana. Kila mtu anatafuta egemeo na wa kumuegemea. Hata yule unayemuegemea na kupata amani ya akili na roho yako, naye kuna mahala kaegemea. Kabla hujaegemea, jiridhishe ikiwa unayemuegemea, anajua umemuegemea, naye kaegemea panapoegemeka. Egemea kwa tahadhari!"