Bahati mbaya, mstari kati ya kukosoa na kujeruhi ni mwembamba sana. Jitahidi sana kushauri na kushawishi zaidi na kukosoa inapobidi. Pale unapolazimika kukosoa, jitahidi kukosoa bila kujeruhi. Kwa udhaifu wa binadamu, huenda majeraha ya kukosolewa yakadumu kuliko hoja yenyewe."