Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukishindwa kuwa tajiri wa mali basi jitahidi kuwa tajiri wa moyo, ukishindwa kumiliki utajiri wa mali,basi jitahidi uwe tajiri wa watu (konekshen), ukishindwa kusaidia watu kwa pesa,saidia watu kwa ujuzi na muda wako. Usishindwe mechi zote. Shinda walau moja."
 
Ukiona watu wanaambatana au kusimama pamoja katika jambo fulani haina maana wanakubaliana katika shabaha au lengo moja. Wakati mwingine kulifikia lengo lako hauna budi kumsindikiza mwenzako kulifikia lengo lake
 
Ukihifadhi sana nongwa ndani yako itakutafuna na kukukosesha furaha. Ukiitema nyingi kupita kiasi hata pale pasipohitajika, au kushinda kitendo ulichotendewa, itakujengea uadui na visasi vya kudumu. Nongwa nayo yafaa iwe kwa kiasi."
 
"Walio wepesi kugawana shida zao na watu, mara nyingi ndio walio wagumu kugawana neema zao na watu. Mkarimu wa shida zake huwa ni bahili wa neema zake, na bahili wa shida zake huwa ni tajiri wa neema zake.
 
Maisha ni kama chumba cha mtihani cha Chuo Kikuu, tunaweza kuwa chumba kimoja cha mtihani lakini kila mmoja akawa anafanya mtihani wake. Kabla hujaingia tamaa ya kuigilizia, hakikisha wewe na mwenzako mnafanya mtihani mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…