Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera kwa kupigana vita ndani ya moyo kimya kimya huku ukituonyesha tabasamu tulio karibu yako
 
Watu hawakuchukii bure tu lazima kuna kitu kizuri unacho na wao hawana. Au kuna jambo fulani unafanya vizuri ambalo wanatamani wangefanya wao. Ukichukiwa jua una kitu zaidi yao
 
Tabia ya kuahirisha kufanya jambo fulani. Kuogopa kujaribu, Hiyo ni kazi ya shetani. Anajua uwezo mkubwa ulionao na hataki kwa sababu ukifanikiwa utakuwa umetimiza kusudi la Mungu kwako.

Omba Mungu akupe roho ya ujasiri.
 
Yupo aliyewahi kuniambia.

'Wanaojali kuhusu wewe pekee, ndio wenye uwezo kukusikia hata utakapokaa kimya.'
 
Kama ambavyo akili inaambukiza na uvivu na ujinga ni hivyo hivyo. Okoa kizazi chako kwa kukataa uvivu na ujinga
 
Tatizo kubwa la wanadamu ni kupenda kusikia wakisifiwa tu lakini wahataki uwakosoe kwa mapungufu yaliyoonekana kwao hii ni mbaya na imejaa ubinafs na kujiona miungu watu muda wote wapo sahihi Mungu anawapenda wanyenyekevu kuliko wenye kujikweza omba sana Mungu akuondolee ubinafs
 
Tabia ya kukosoa kila jambo analofanya mwingine ni dalili mojawapo ya kuwa na vurugu za maono.
 
Umuhimu wako utaonekana utakapoondoka kwao. Wataanza kukumiss baada ya kuona hakuna anaefanana na wewe.
 
Kuna Uwezekano Mkubwa Kinachokuja Ni Bora Zaidi Kuliko Unachodhani Umepoteza, Usipoteze Matumaini Kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…