Acha kujilinganisha, kwasababu kila utakapojilinganisha na watu wengine lazima utaona kasoro tu, mwishoe utaishia kusononeka kwa vitu ambavyo hauna, utashindwa kujiamini, utajiona umechelewa kwenye maisha na utasahau una vitu vingi vya kushukuru ambavyo pia watu wengine hawana