Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,481 Uelekeo wa manati na mawe ndipo lilipo windo."
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,482 Wakati hupita, na unayoyapitia nayo yatapita. Hata kalenda hupitwa na wakati."Wanaotuvuruga, wanatupangua na kutupanga upya."
Wakati hupita, na unayoyapitia nayo yatapita. Hata kalenda hupitwa na wakati."Wanaotuvuruga, wanatupangua na kutupanga upya."
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,483 Ujuzi wa kujua jinsi ya kuishawishi na kuongoza akili za watu unaweza kukufanikisha na kukufanya uwe tajiri zaidi kuliko vyeti vya karatasi pekee vinavyoweza kufanya.
Ujuzi wa kujua jinsi ya kuishawishi na kuongoza akili za watu unaweza kukufanikisha na kukufanya uwe tajiri zaidi kuliko vyeti vya karatasi pekee vinavyoweza kufanya.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,484 Kwenye Maisha, Usipofahamu Unapokosea, Jiandae akukosea kila siku, Na Mwishowe Utakata Tamaa Na kushindwa.
Kwenye Maisha, Usipofahamu Unapokosea, Jiandae akukosea kila siku, Na Mwishowe Utakata Tamaa Na kushindwa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,485 Kilicho chako kitakuja pamoja na udhaifu wako kisicho chako huwezi kukipata pamoja na nguvu zako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,486 Harakati zote za maisha hatimaye ni kuizengea, kuipata na kuiishi furaha. Mengine yote ni ziada."
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,487 Chuki ni mzigo mkubwa unaomtesa aliyeubeba kushinda aliyelengwa na chuki yenyewe.Upendo ni mwepesi kwa aliyeubeba na mzito kwa aliyelengwa."
Chuki ni mzigo mkubwa unaomtesa aliyeubeba kushinda aliyelengwa na chuki yenyewe.Upendo ni mwepesi kwa aliyeubeba na mzito kwa aliyelengwa."
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,488 Huwezi KUWAZUIA binadamu KUSEMA. Wasiposema UPENUNI watasema SIRINI. KUSEMA ni KUPUMUA kwa AKILI
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,489 Epuka kupaza hisia zako, paza mantiki ya kauli yako."
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,490 Uvunguni mwa unyenyekevu kuna imani, utu na uungwana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,491 Mtazamo wetu katika maisha juu ya masuala, vitu na watu ndio hufanya jambo dogo kuwa kubwa na kubwa kuwa dogo. Mtazamo wako ni tatizo lako!
Mtazamo wetu katika maisha juu ya masuala, vitu na watu ndio hufanya jambo dogo kuwa kubwa na kubwa kuwa dogo. Mtazamo wako ni tatizo lako!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,492 Watu hubadilika si kwa sababu ya muda, bali kwa sababu ya maslahi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,493 Unaweza kuyakabili lakini si kuyazuia majira.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,494 Maumivu ya kuumwa yanaambatana na mashaka na hofu lakini maumivu ya tiba huambatana na matumaini. Maumivu yanatofautiana
Maumivu ya kuumwa yanaambatana na mashaka na hofu lakini maumivu ya tiba huambatana na matumaini. Maumivu yanatofautiana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,495 Heri kukosea katika kufurahi kuliko kunyong'onyea katika kupatia. Kuitafuta furaha ndio sababu ya kuishi, ukiipata ilinde kwa wivu mkubwa!"
Heri kukosea katika kufurahi kuliko kunyong'onyea katika kupatia. Kuitafuta furaha ndio sababu ya kuishi, ukiipata ilinde kwa wivu mkubwa!"
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,496 Gharama ya kuwaelewa watu ni ndogo kuliko kuwaelewesha, kuwakubali ni ndogo kuliko kuwabadili na kuwasamehe ni ndogo kuliko kuwa na kinyongo
Gharama ya kuwaelewa watu ni ndogo kuliko kuwaelewesha, kuwakubali ni ndogo kuliko kuwabadili na kuwasamehe ni ndogo kuliko kuwa na kinyongo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,497 Maamuzi magumu yanatengeneza tabia.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,498 Kwa kila uamuzi mgumu, unajijengea nguvu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,499 Maamuzi sahihi huwa wazi, lakini ujasiri wa kuyaamini ni jambo lingine.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 19, 2025 #1,531,500 Uvivu hauwezi kushinda mtu aliye na kusudi, hofu haiwezi kushinda moyo uliojaa imani, na wasiwasi hauwezi kufunika nuru ya matumaini ndani yako.
Uvivu hauwezi kushinda mtu aliye na kusudi, hofu haiwezi kushinda moyo uliojaa imani, na wasiwasi hauwezi kufunika nuru ya matumaini ndani yako.