Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Elimu nusu, maarifa nusu, taarifa nusu, imani nusu,dhamira nusu na jitihada nusu haviwezi kukupa matokeo kamili. Utavuna kadri unavyowekeza!"
 
Kila binadamu anapenda kutambuliwa, kuthaminiwa, kujiona ana mchango na anafurahia ushindi. Vivyo hivyo kwa wanawake ndani ya mahusiano na ndoa. Hauwezi kuwa wewe tu uwe sahihi, mwenye maamuzi na mshindi wakati wote."
 
Kuna maneno na dhana za kutosha kwa mtu mwenye hoja nzito kuweza kujadili mambo bila kutumia matusi na kebehi. Kujadili ni sanaa.
 
Ukianza kujitegemea ndio utagundua kwa nini mzazi Alikua Hatafuni Mchele.
 
Hatuna kauli juu ya siku na aina ya kifo chetu, lakini tunao uhuru na fursa ya kuamua aina ya alama na kumbukumbu tutakayoiacha nyuma yetu.
 
Hakuna kitu kibaya kwa mwanadamu pindi pale Njaa inapoamia Kichwani. Hii ni hatari zaidi ya Hatari yenyewe.
 
Ni imani tu kwa Mungu ndio itakayokufanya uwe na subira, uelewe fumbo la riziki, ufurahie mafanikio ya mwenzako na ukubali pale unaposhindwa
 
Kama utaruhusu kukutana na watu wapya kila siku, hutaogopa kuwapoteza wale wanaokutesa nafsi ambao unawang'ang'ania." ~
 
Wakati mwingine katika maisha msaada mkubwa unaoweza kumpa mtu ni kumnyooshea kidole kumuelekeza uelekeo fursa ilipo ama kumlengesha kwa mtu mwenye kuweza kutatua changamoto yake.
 
Bryan Mbeumo scores after 65 seconds! What a start!! Liverpool 0-1 Man Utd


 
GOAL! Maguire heads home to take the lead back! Liverpool 1-2 Man Utd

 
Duniani hakuna cha bure kila kitu kina gharama yake hata dhambi zako nazo pia utazilipia zote hakuna cha msamaha wala hakuna cha bure
 
Ukuu wa Mungu unaweza kubadilisha maisha yako kwa sekunde moja, kupitia baraka, uponyaji, fursa, au watu atakaowaweka kwenye njia yako.
Wajibu wetu sisi ni kuamini, kusubiri kwa imani, na kuwa waaminifu.
 
Tumbo lenye njaa, Miguu iliyo peku, Pochi isiyo na hela, Moyo uliovunjika, Unaweza Kukufunza Vitu muhimu sana kwenye Haya Maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…