Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ili mpika majungu afanikiwe, anahitaji majungu yake yakutane na sikio lililo tayari kuyasikia, moyo ulio mwepesi kuyaamini, akili iliyo na pupa ya maamuzi, na mikono iliyo tayari kuyafanyia kazi. Kinyume na hapo, hayo majungu hugeuka kuwa ni mtazamo au maoni yake tu."
 
Maumivu ya moyo hayanaga kelele, Ila yanaharibu Kila kitu kwenye moyo wako na Akili kwa Ujumla.
 
Akili ni kama sumaku unachoruhusu ifikirie ndicho inachokivuta,ukiwaza mabaya inayaleta ukiwaza mazuri inayaleta pia!!
 
Kama Ulishindwa Kumvua Samaki kwenye Ziwa iwe Kwa Bahati mbaya au Kwasababu ya kukosa Ujuzi Nenda Kamsubiri Sokoni.
 
Watu wenye mtazamo hasi hawajawahi kuleta suluhisho la tatizo lolote lile isipokua huona tatizo tu kwa kila suluhisho
 
Maisha ni uwanja wa vita Wengine silaha zao ni tabasamu, Ila nia zao ni Sumu.
 
Kiasi kidogo cha upendo kinacho toka moyoni, kina thamani zaidi kuliko mali nyingi zisizo na roho ya utu.
 
Kwenye maisha usikate tamaa kila unapofeli kwenye jambo lako la kimaendeleo kikubwa ni kujua tatizo ni nini na kuishi kwenye mbinu mbali mbali
 
Ukipenda kukaa na watu wanaopenda kuwasema wengine, Ipo siku wewe ndio Utakua Mada kwao pindi Ukiwa Haupo.
 
Nawakumbusha tu kuwa Kuna watu wanaishi ndoto zetu alafu sisi tunaishi kwenye mapito Yao, Mwanga Jasho Ndugu yangu hakuna namna
 
Acha kupigana vita na watu ambao silaha yao ni Familia zao na wewe Familia yako ndo silaha Yao
 
Mungu akiamua kukupa aangalii Kuna mvua,jua,upepo,masika,jumatatu au ijumaa ukipata nafasi ya kumshukuru tumia hio nafasi kesho yako ni fumbo
 
Matatizo huja yenyewe, yani utake au usitake yatakuja tu, hivyo bhasi muda mwingi pambana kuitafuta furaha yako
 
Hatufanani!
Hii haina maana kwamba thamani yetu I tofauti.
Thamini mwenzio,hata yule alie tofauti nawewe.
Umezaliwa na utakufa!
 
Back
Top Bottom