Kutokana na ukubwa wake awapo baharini
hata samaki wakali kama papa huwa
hawajaribu kumchokoza kwa kumuhofia, kwa
sababu hiyo hubeba sifa ya ubabe baharini.
Ni mnyama asiyekunywa maji kabisa, hii nikwa sababu huishi baharini ambakohupatikana maji chumvi ambayo si rafikikwake, hivyo kiu chake hukatika kwa chakulaalichokula ambapo huchakatwa na kufyonzwamajimaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.