Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyangumi ndio mnyama mwenye sautikubwa kuliko kitu chochote duniani. Hutoa sautikali sana ya kipimo cha decibles188 ambayoinaweza kusikika mpaka umbali wa kilomita848.
 
Urefu wa nyangumi unakadiriwa kuwa wamita30 mpaka 50, ukimuweka ardhini urefuwake ni sawa sawa na urefu utakaojitokezabaada ya kuyapanga magari 9 ya size yafamilia, Aliyekamatwa mara ya mwisho alikuwana urefu wa mita33.
 
Baadhi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwakiasi kwamba Binadamu anaweza kuogeleandani ya mishipa hiyo bila kugusa pembeni
 
Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaakamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaakamba zaidi ya 4000000 kwa siku, ili nyangumiashibe vizuri anakula kilo 3600kg
 
Mdomo wa nyangumi unaweza kuhifazi tani90 za chakula na maji akiufumbua mpakamwisho
 
Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3ambao ni uzito zaidi ya Tembo mkubwa
 
Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwakuwa wa tani 200 hadi 300? Mmoja JIKEalikamatwa na kupimwa alikuwa na kilo171000kg
 
Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa sizeya mwisho?
 
Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila sikuakiwa na umri wa miezi 7 tu?
 
Fisi ni mnyama aishiye mbugani, ambaye ana
sifa kemu kemu kwa wanadamu, pengine hii ni
kutokana na kutokeza katika simulizi nyingi
tulizokuwa tukijifunza katika hadithi, pindi
tulipokuwa shule ya msingi, ana umaarufu wa
jina la bwana afya wa porini, hii ni kutokana na
sifa yake ya kula mizoga,
 
lakini pia ni mnyama ambaye amepata sifa nyingi za kuwa bwegekutokana na kusumbuliwa sana sungura katikahadithi hizo za shule ya msingi.
 
Mnyama huyu ni maarufu na pengine ndiye
mnyama pekee mwenye kufahamika zaidi
katika bara la Afrika, hususani hapa nyumbani,
kwani mbali na kutokea katika hadithi,
 
lakini pia
mnyama huyu baadhi ya makabila humtumia
wanapocheza ngoma za asili
 
pia ana sifa ya
kuhusishwa sana na imani za kishirikina,
baadhi ya jamii anapoonekana hupigwa mpaka
kufa kwa imani kwamba ni mtu amejibadilisha
kuwa fisi.
 
fisi huishi kifamilia na kwa
taarifa yako ni kwamba hujenga kabisa sehemu
wanazokaa, urefu wao ni zaidi ya nchi 35, huwa
na uzito wa kilo zaidi ya 75 inategemea na
umri, huishi zaidi ya miaka 20, hubeba mimba
kwa miezi mitatu na akizidisha ni siku chache
sana,huzaa watoto kuanzia wawili mpaka
wanne, kichwa chake hufanana na mbwa ila
tofauti yao ipo katika muonekano,
 
fisi ni
mnyama ambaye miguu yake ya nyuma ni
mifupi zaidi, hivyo unaweza ukamgundua kwa
jinsi anavyotembea na matendo yake
 
huishi
popote sehemu kame, vichakani na hata
sehemu ambazo zina majani yenye ukijani
sana, hivyo ni mnyama ambaye popote kwake
ni kambi.
 
Back
Top Bottom