Fisi wanaogopa sana dume la simba,wanaweza kuwasumbua majike wa simbawatatu lakini likija dume huwa linahakikishammoja kati yao anachechemea, hivyowanapomuona simba dume hupiga kelele zakupeana habari kuna hatari.
MFAHAMU NYUMBU Anafahamika kwa sifa kubwa ya ujinga,pengine kutoeleweka kwa urahisi matendo yaondio maana hupewa sifa hiyo mbaya ambayokimsingi hawastahili kuibeba
huku hapa nyumbani
Tanzania wakiipa umaarufu nchi yetu kutokana
na balaa lao ambalo hulifanya huko Serengeti
linaloingia katika maajabu ya Dunia na kupewa
jina la kizungu : The Great Wildebeest
Migration, ambapo husafiri km zaidi ya 800
(sawa na umbali wa kutoka Dar es salaam
mpaka Mbeya) usijefikiri wanapanda kitu
hapana ni kwa kukimbia tuu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.