Ili mpika majungu afanikiwe, anahitaji majungu yake yakutane na sikio lililo tayari kuyasikia, moyo ulio mwepesi kuyaamini, akili iliyo na pupa ya maamuzi, na mikono iliyo tayari kuyafanyia kazi. Kinyume na hapo, hayo majungu hugeuka kuwa ni mtazamo au maoni yake tu."