Faru wana uwezo wa kuishi katika mazingira tofauti hususani maeneo ya misitu yenye mvuana aridhi yenye uwezo wa kutunza maji kwa muda mrefu. Hivyo, hufanya wanyama hawakupendelea sana maeneo yenye maji yakutosha.
Mara nyingi watoto wa kike (Faru jike)
huendelea kubaki na mama zao lakini watoto
wa kiume huondoka na kwenda kuanzisha
makazi mapya katika maeneo mengine.
Kipindi ambacho faru jike anamlea mtoto
huwa na hasira kali sana na kamwe huwa
hamruhusu dume kumsogelea karibu. Hii
hupelekea tofauti ya miaka mitano ya uzao kati
ya mtoto mmoja na mwingine.
Faru ni miongoni mwa wanyama walio hatarinikutoweka duniani kutokana na kuongezeka kwavitendo vya ujangili. Takwimu za hivi karibunizinaonyesha kupungua kwa kiasi kikubwa chaidadi ya faru.