Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyoka anauwezo wa kubadili ngozi yake ila sumu ni ile ile, Kuwa makini na mtu anaye rudi tena kwako Umsamehe baada ya Kukuumiza. USIKUBALI.
 
Inawezekana kabisa huruma yako ndio chanzo cha matatizo unayo yapitia, Kuwa makini na unao Wahurumia.
 
Ukiona mtu yuko kimya sio kwamba hawezi kuongea, Kuna muda unachoka kuelewesha watu wasiotaka Kueleweka.
 
Hisia mbaya ni kuyaona maisha yako yanapita mbele yako, Bila ya kuishi maisha Uliyo yatamani.
 
Usifanye mazaha na vyanzo vyako vya mapato na usiruhusu mtu avifanyie mchezo, Upendo unaweza kuja na kuondoka, Ila njaa ipo kila siku Ongeza bidii yako kila siku maana hautakuja kuacha kulipa Bill kwenye Hii Dunia Hadi siku unaondoka Hapa.
 
Ukija kufanikiwa usisahau ulichokua unafanyiwa Kipindi Hauna Mafanikio yoyote.
 
Kibaya sio kuachwa, Mbaya zaidi ni kudanganywa na kupotezewa muda kwa mtu ambaye Ulijua Atakua wako.
 
Kumwamini mtu ni kama kumkabidhi Bunduki, Anaweza kukupiga risasi ama Kukulinda.
 
Nyoka anauwezo wa kubadili ngozi yake ila sumu ni ile ile, Kuwa makini na mtu anaye rudi tena kwako Umsamehe baada ya Kukuumiza. USIKUBALI.
 
Hata uwe na upendo kiasi gani, Huwezi kumridhisha, Binadamu mwenye tamaa, na asiye Ridhika.
 
Ukiona mtu yuko kimya sio kwamba hawezi kuongea, Kuna muda unachoka kuelewesha watu wasiotaka Kueleweka.
 
Hisia mbaya ni kuyaona maisha yako yanapita mbele yako, Bila ya kuishi maisha Uliyo yatamani.
 
Usifanye mazaha na vyanzo vyako vya mapato na usiruhusu mtu avifanyie mchezo, Upendo unaweza kuja na kuondoka, Ila njaa ipo kila siku Ongeza bidii yako kila siku maana hautakuja kuacha kulipa Bill kwenye Hii Dunia Hadi siku unaondoka Hapa.
 
Ukija kufanikiwa usisahau ulichokua unafanyiwa Kipindi Hauna Mafanikio yoyote.
 
Ukija kufanikiwa usisahau ulichokua unafanyiwa Kipindi Hauna Mafanikio yoyote.
 
Hata uwe na upendo kiasi gani, Huwezi kumridhisha, Binadamu mwenye tamaa, na asiye Ridhika.
 
Nyoka hawezi kukuuma akiwa mbali yako, Kwahiyo kuwa makini sana na watu ulionao karibu Maana unacheka na watu wanaotamani ulie.
 
Ishi nawatu vizuri uenda unacho kitafuta Mungu amesha kiweka Kwenye mikono ya watu Tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…