Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni kweli kabisa mkuu.Humu pamekuwa pagumu,na majukumu yamewabana wengi. Natumaini siku moja mtarudi home sweet home
Mkuu 😁Amepotea jumla.
Nadhani amemaliza kazi yake kwenye uzi huu[emoji23][emoji23]
Nipo mkuu.Mkuu 😁
Naona bado upo active mitaa hii.