Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,781 Pigania kesho yenye picha kubwa alafu ishi. Usipoteze tumaini, Walio nyuma yako wewe ndio role model wao.
Pigania kesho yenye picha kubwa alafu ishi. Usipoteze tumaini, Walio nyuma yako wewe ndio role model wao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,782 Usiishi kwa Tumaini la mwendawazimu kuwa lipo siku atakuwa tajiri kwa kulitegemea jalala.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,783 Usipange lawama kwa kufelishwa bali panga mwelekeo mpya utakaowafelisha waliokufelisha.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,784 Usiwapoteze watu ambao wapo kwa ajili yako kila wakati. Watu hao ni nadra sana kuwapata katika karne hii iliyojaa wabinafsi.
Usiwapoteze watu ambao wapo kwa ajili yako kila wakati. Watu hao ni nadra sana kuwapata katika karne hii iliyojaa wabinafsi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,785 Kwenye maisha kuna muda huitaji mambo mengi ili uweze kukaa sawa unaitaji vitu viwili peke yake, uwezo wa kukubali kuanza upya na uwezo wa kusahau...,
Kwenye maisha kuna muda huitaji mambo mengi ili uweze kukaa sawa unaitaji vitu viwili peke yake, uwezo wa kukubali kuanza upya na uwezo wa kusahau...,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,786 Moja ya kosa kubwa la kuliepuka ni kujidanganya mwenyewe.. Mbaya zaidi ni kudanganya mtu/watu ili upate validation, kama una hali hii tambua unajizika mzima mzima.
Moja ya kosa kubwa la kuliepuka ni kujidanganya mwenyewe.. Mbaya zaidi ni kudanganya mtu/watu ili upate validation, kama una hali hii tambua unajizika mzima mzima.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,787 Upambanaji sio kuhusu nguvu za mwili pekee, ni kuhusu moyo usiokubali kushindwa hata pale kila kitu kinapoonekana hakipo sawa.
Upambanaji sio kuhusu nguvu za mwili pekee, ni kuhusu moyo usiokubali kushindwa hata pale kila kitu kinapoonekana hakipo sawa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,788 Chai Isiwe Ya Moto Sana Ukashindwa Kuinywa Wala Isiwe Ya Baridi Sana Ikawa Kama Maji, Jifunze Kujithamini Kabla Hawajakutumia Watakavyo Kuna Wakati Inabidi Uwe Na MSIMAMO, Ili Wajue Kwamba Huvumilii UPUUZI
Chai Isiwe Ya Moto Sana Ukashindwa Kuinywa Wala Isiwe Ya Baridi Sana Ikawa Kama Maji, Jifunze Kujithamini Kabla Hawajakutumia Watakavyo Kuna Wakati Inabidi Uwe Na MSIMAMO, Ili Wajue Kwamba Huvumilii UPUUZI
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,789 Sadaka huanzia moyoni na si mfukoni. Toa kwa sababu moyo wako umeguswa na si kwa sababu mfuko wako umefurika. Sadaka yako haitapimwa kwa kiasi bali kwa imani".
Sadaka huanzia moyoni na si mfukoni. Toa kwa sababu moyo wako umeguswa na si kwa sababu mfuko wako umefurika. Sadaka yako haitapimwa kwa kiasi bali kwa imani".
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 30, 2025 #1,533,790 Kabla ya kulalamika juu ya ladha ya chakula chako, fikiria mtu ambaye hana chochote cha kula.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,791 Salaam
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,792 Heri ya mwaka mpya friends
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,793 10:15 Ijumaa January 2 2026
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,794 Magazeti ya leo
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,795
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,796
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,797
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,798
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,799
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 2, 2026 #1,533,800