Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
View attachment 3583396
Anyeong, I hope bado mpo na energy.
Babu yenu nguvu za kiume zimepungua.
Ok
Wenye machimbo ya siri nisaidieni kuipata hii filamu.
Inazungumzia maisha ya mfalme danjong (mjukuu wa mfalme sejong)
Aliondolewa madarakani kwa nguvu ya mjomba wake akiwa kijana mdogo.
Imetoka mwishoni mwa 2025 kama nitakuwa sahihi.
Sad ending 😢
Sad ending
Sad ending.
Intelligent businessman ,
Mac Alpho
Nifah dada mkubwa
Numbisa zee la cinema
talnam yuko wapi,
Gyeoul upo hai?