Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaaaa cocochanel mchokozi...ila ulivyo kuja uliipiga ya kichama,wakashituka aaaaaaah!!! Ukabadilika kabisa,nikakuomba msamaha kwa jinsi nilivyokuwa nakuchukia kule siasani,tukayamaliza mpaka leo ni baba na mama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (yaani wewe ni ke Mimi ni me).ISIS kwa lugha yake ngumu kule siasani nikamwita Me,weeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani hadi Numbisa alishangaa kujua kuwa ISIS ni ke... Hakika tuna cha kujivunia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…