Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nilisha wahi muuliza kwanini hapendi kupost sana alinipa jibu zuri sana nilifurahiNi mtoaji mzuri sana wa likes japo post zake ni chache humu...ubarikiwe Mark Msue
India OceanBombay
Wema hauozi kamwe ni kama asali au kekiSafari bado rafiki tenda wema safari bado
Kabisa
Karibu sana,japo nina makazi kwa Makonda na kwa Makalla,nazunguka tu utadhani daladala mbovu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipanga nije pande hizo kipindi hiki sema majukumu yamebana tu...nikibahatika kuja nitakutafuta nikuone[emoji125] [emoji125] [emoji125]
MoscowKiev
Unataka nivae nini[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa utaangukaje umevaa suruali ???
HahahahaKaribu sana,japo nina makazi kwa Makonda na kwa Makalla,nazunguka tu utadhani daladala mbovu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niliitwa na Babe S humu ndani. Asante Mpenziuzi una siku 30.
Ulianzishwa: 16/06/2017
Leo ni: 16/07/2017
Celebration kwa uzi.
Tuambie story fupi uliingia vipi humu.
Yangu naileta soon hapa.
Mwendo mdundo mbele daima
KwemaKwema kabisa kaka vipi wewe.
JoyfulHahahhaaah
UingerezaLondon