mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
CleverKINGMwanaume dhaifu!
Yeah! Mods have to be aggressive na haya mambo kwa sababu jamaa wanaweza kutumia kama sababu ya kuifungia JF mazima!Afadhali imeondolewa....
Naona umerudi tena upyaMaumbile ya wanawake yana sura mbaya aisee ndo maana hawatak kuyaachia waz waz kihasara! Kama sikio la punda!
Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
DuhMlaani tu si lazima uione inaweza kukupa mkosi
Pole mkuu, ata mimi ndio kilichonitokea hapa nipo safarini kwenye basi uzuri nimekaa na mwanaume mwenzangu ila nimefedheheka sana kwa picha hiyoNimepata aibu kwenye gari leo kisa picha flani hivi inaonekana hapa. Nafungua jf naanza kuangalia kinachoendelea lahaulaa
Rutashubanyuma bado unagonga likes2nd like at 16:00
Nakusubiria mlangonWapi huko nije kwa chapu chapu
Tunaomba radhi mkuu.Jamani mbona hiyo picha bado inaonekana kwa juu kama profile yaan najisikia vibaya ...kwanini watu wapo hivi aarg
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] yaani ukitoka tu kwa gate haamadi hii apa!!!
Mama wa mapicha
Aisee!Ndugu Wana Chit-Chat,
Tumesikitishwa sana kwa utovu wa nidhamu ulioonyeshwa na baadhi ya wanachama kuchapisha picha zisizo na maadili.
Kwa sasa tumeshaziondoa. Tunaomba radhi kwa wale waliokwazika na tunawashukuru waliochukua hatua ya kuripoti suala hili kwetu.
Ni matarajio yetu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kudhibiti tabia hii isiyofaa.
Asante.
Ushanitoa udenda
KosaNtakua natenda dhambi kuhukumu bila kujua kosa
Long beachTree
Cha ngariba bhuana, hauipendi kuiona amaMods fanyeni mtoe hiyo picha.
Pokea likes toa likesHuu Uzi nn tenaa
sent from my iPhone 6
AMUN RA4:00
AMUN RA
Judge number 54
Ndugu Wana Chit-Chat,