Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Yup my dearISIS hivi umekula leo?
sent from my dell inspiron
7GHuu uzi bila shaka umemeza 4G.....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwehu yuleHuyu mjinga aliepost picha ya kipuuzi ni nani.....naamini hajalenga uzi huu bali jf nzima kiujumla ionekane haina heahima.
Mods mfuatilieni mtu huyo kwa nguvu zote.
Niko poa my dearNipo,uko poa?
Mzee wa busara ulipotea kula like kwa kuonekana tupe busara zakoKila siku huwa nasisitiza kuwa mods waangalie aina upya ya kujiunga humu jamvini.....hasa hasa suala la kupimwa akili kwa baadhi ya member humu.......maana kuna vichaa wamebakiwa akili kidogo za kutumia simu janja ndio wanaofanya upuuzi huu.....
Maana naamini kabisa mtu mwenye akili timamu hauwezi ukaposti picha kama ile....
Hiyo picha niliyokutana getini....imenifanya nijulize mara mbili mbili kuwa nimeingia JF au mtandao wa ngono.....!!??
Jamani humu ndani pamoja kuwa tunataniana humu lakini mkumbuke kuwa kuna baba zenu humu na mama zenu....
NB;
Mods hakuna uwezekano wa huyo kijana mkamkabidhi kwenye vyombo vya sheria.....au haya si katika makosa ya kimtandao...!!?
Mkuu mood imekata kabisa hebu nitarudi baadae.Kichwa kichafu
Hapa kasi tu160000+
KabisaMods fanyeni mtoe hiyo picha.
Endelea Mkuu nice moveWamisri wa kale walikuwa na miungu mingi na ISIS ni mmojawapo wa miungu muhimu na anahusiana na miungu mingi mingine
18:49Linamo vip mambo
Kula likePamoja sana wakuuuuu........
Itakuwa hivi dsbdhxnaxwfakqobgjsjvgafvsuccUzi ukila ban sijui itakuwaje
SanaFake Id
Jana ilileta matusi na hiyo picha