cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Nami piaMbavu zangu hahahaha
Kifaranga
Mbona likes hunipi? Hii bifu ya nini,? Nipe nami like wajamaniMbavu zangu hahahaha
Nenda pmWap we Mzee mbona sijauona
Haha hahaHahahahahaha
Manutd hoyeee! Mourhnio hoyee!Majogoo mmeanza kuleta mbwembwe huku huwa mnapoteana sana
Ua appriciatedIndeed
Life is goodGood evening my dear
Jibu ni 3(4-4=0×7=0+3=3)
HongereniSHIMBA YA BUYENZE
ANDJUL
MZEE WA LIVER
JAKITOO
ISIS
KICHWA KICHAFU
NUMBISA
THE CHOOSEN ONE
MYOYAMBENDI
MCHINA
MOUDGULF
MARK MSUE
SINCE DAY UNO TEAM /FELLAZ
And counting164 k
Ujisikitikie
Humu watu hawalilii like kama wewe wala wengi hawahesabu
Bali ni burudani do u get me woman!!!
Hakuna aliyewahi kuleta screenshot za kuangalia like za watu ... wengi humu wameingia na like kwendana na posts zao au zaidu... wengine ndio hata 5% hawakuwa nazo ila wamekuja wanaburudika bila kujisukuma kylazimisha
Quotes sikuanza leo kurusha. Usijilazimishe kuwa kama vipi upo chini ya wengi kwenye status ya uzi huuu
Mtu kubishana na wanawake ni kukosa mengi maishani
.unapitwa unakazana eeeeeh kutaduta maneno
Kweli kuzaliwa miaka ya 90 sijui ya 2000s wengine ni kazi kweli kweli
You can do with my likeHahahaha