Kupitia uzi huu, kuishi bila vyama vya siasa inawezekana. Natamani hata nisirudi jukwaa la kule. Mwenye uwezo wa kuniroga na aniroge kwa faida yanguNitazidi kuupenda uzi huu sababu hauna siasa yoyote ndani yake!
Na inapendeza tunapokuwa sehemu bila kuangaliana kwa jicho pande.
Mkuu mbona mwandiko wake unaeleweka anacho taka? MpeeeNini lakini Antonio kwani mi nimesema neno gani mbona unanionea lol
Hahahaha Nabii wa like hii nimelikeNi NABII wa LIKE