Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Pokea likes tandabui zingine kwa kucheka hahahahaHahahaha
Hahahahaha[emoji57] [emoji57] [emoji57] ndio maana sizitumii kabisaaa,unajiaminisha kuwa upo salama,ghafla Cole huyooo na manati[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ni mimi Tu miss understanding na mpenzi wangu carbamazepine kidogo lakiniHahahhhaa Jamani jamani Cole leo ni wewe au simu imetekwa
MmmhhhhhMh this is bad na nina hakika ni irreversible
Hahahahahaha dah nacheka sanaSiasa mh! Pengine panga litamshukia mropokaji mashuhuri kwanza. Who knows [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TandahimbaTandabui
I am jealousI will give all of me for you
For to forgive me love
Mapenzi kizunguzungu shemeji...unapopenda au kupendwa mpende mtu kwa jinsi alivyo na si vile unavyotaka awe mwishowe ndo tunaishia hukuUmenichekesha shemeji. Masikini hapo inabidi tu uende kwa Mchina. Halafu hata huyo unayehangaika kumfurahisha kesho na keshokutwa huyoo ana wengine. Na mbaya zaidi anaweza akakuacha wewe uliyeweka msambwanda wa bandia na kukimbilia kwa mwenye flat screen. Wanaume sisi kwa kweli hatujui tunachotaka!
Nadhani ulitaka kuandika hukaripiwaJambo baya likitokea nyumbani yatima hukaribiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani uwongo ellyimenibid nicheke tuuu
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Penda sana weye[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
shukriya..... [emoji4]jakitoo pokea like mama
Rudi nyumbani tuyajenge babaNi mimi Tu miss understanding na mpenzi wangu carbamazepine kidogo lakini
Mweeeh hapa Sasa ni uache kazi ufanye kazi.endelea kupost uone kama notifications hazitajaa simu yako
Don't cry my love[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
GeJO please don't DESTROY My life please tena please.Hujaona GeJo kakukaribisha hapo?[emoji24][emoji24][emoji24]mbona wantesa hivi jamani[emoji174][emoji174][emoji174]
ni kweli kabisa haya mambo bhana ndo hivyo mapenzi upofu[emoji23][emoji23][emoji23]kwani uwongo elly