demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,294
Manchester City wapo tayari kumfanya Gadiel Michael, 23, kuwa beki ghali zaidi duniani kwa kumsajili kutoka Azam FC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manchester City wapo tayari kumfanya Gadiel Michael, 23, kuwa beki ghali zaidi duniani kwa kumsajili kutoka Azam FC.
Liverpool wamesema Simba Sports Club wanapoteza muda wao kutaka kumsajili Philippe Coutinho, 25.
Poa kabisa mkuu.Kwema?Wakuu kwema hapa?
Mkoa poa?
Manchester United sasa wameelekeza nguvu zao kumtaka beki wa kulia wa Dar es Salaam Young Africans, Juma Abdul, 24, kutokana na kusuasua kwa mipango ya kumsajili Fabinho, 23, kutoka Monaco.
Morning MkuuUniverse knows my first priority
Manchester United wanataka kuwazidi kete Dar es Salaam Young Africans katika kumsajili Renato Sanches kutoka Bayern Munich.
Meneja wa Kagera Sugar Mexime amethibitisha kuwa Juma Kaseja anataka kuondoka Kagera msimu huu.
Nipo mkuuMzee wa liver
The one and onlyIsis
Singida United wamewasilisha dau la pauni milioni 72 kumtaka kiungo wa Azam Himod Mao, 25, lakini Azam wanatarajiwa kutupilia mbali dau hilo.
Beki wa Simba SC tshabalala anakaribia kujiunga na Mtibwa, kwa mujibu wa meneja wake Pep Guardiola.
Yanga yakaribia kukamilisha usajili wa Mmexico anayekipiga Bayer Liverkusen Chicharito Hernandez.