Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeshailaiki. What do you gonna do now? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usi like hii comment
Ulikuwa usiku wa manane. Alikuwa anafurahisha baraza!
Anaelewa maana ya mahari na masharti yake? Na ni majukumu gani hayo anayotaka kukupunguzia?Anataka ng'ombe baadhi zirudi kwa kuwa anataka kunipunguzia baadhi ya majukumu.
Sisi hii hatujui. Sisi tunataka kwenda kanisani tu na kuombewa tayari mirako zinatokea....Jion njema View attachment 548064
Tulianzia hapa, nilimwambia inabidi aongeze mahari maana majukum sasa yameongezeka. Akasema km hivyo eti bora apunguze ili majukum yapungue.Anaelewa maana ya mahari na masharti yake? Na ni majukumu gani hayo anayotaka kukupunguzia?
Kama anataka ng'ombe wake, mweleweshe kuhusu concept nzima ya "gujimula" na huwa inatokea wakati gani.
Majukumu gani yaliyoongezeka? Na tangu lini mahari ikawa proportional na majukumu? Huyu mnamahanga vipi? Tulimtoza ng'ombe wengi kwa sababu ya ulimbwende wako, usomi wako, tabia yako njema, weupe wako na ukoo bora unaotoka. Haya mengine ya majukumu ni mbwembwe tu. Kama amekuchoka aseme abwage manyanga aje "ajimule". Kila mwaka aliokaa nawe tutakata ng'ombe wanne na kila mtoto mliyezaa tunamainazi ng'ombe sita. Watakaobaki ndo atachukua!Tulianzia hapa, nilimwambia inabidi aongeze mahari maana majukum sasa yameongezeka. Akasema km hivyo eti bora apunguze ili majukum yapungue.
Likes zipo za kumwaga. Ila na ww itakubidi utoe ulizonazo!
TrueTimu ni bado mbovu haina ubavu wa kusimama na Chelsea.
Mkuu heshima yako BAK
Mkifikia maamuzi unijulisheAnataka ng'ombe baadhi zirudi kwa kuwa anataka kunipunguzia baadhi ya majukumu.
Hahahaha duh sipati picha
Black beauty!Black Mambaaaaa...