carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji4][emoji4][emoji4]That's my girl [emoji173] [emoji173] [emoji179] [emoji178] [emoji178] [emoji173] [emoji179] [emoji179] [emoji173] [emoji173] [emoji178] [emoji178] [emoji106] [emoji106] [emoji173]
SASA mbona mimi siogopi na nina kaa mwenyewe nyumba nzima ufukweni!Picha za ISIS ni kupambana nazo tu.
Kwa makemeo na kila aina ya silaha....
Usiogope!
Halafu watu humu wepesi sana kutoa namba zao za simu sijui kwa nini. Hata hao watu wa cyber law nadhani huwa wanajifanya mabinti tu na kujilengesha, unatoa namba basi wanakudaka. Hakuna nidhamu kabisa!Usalama unatoka wapi?
[emoji23][emoji23]acha nianze kum'mendea andjul....andjul jiandae[emoji23][emoji23][emoji23]Yap...
Tena rahisi sana...
Usitishwe na big names za humu...
Ukigangamara na kugangamariwa unapata na kupatikana kama hauko makini...
HahahahaMambo ya mtandaoni haya ni hatari sana.
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushangaza mwaka 2009 na kuanzia wakati huo sitakaa nionane na mtu ambaye eti nimekutana naye mtandaoni. Tutataniana humu tu na kila kitu kitabaki humu humu. Hata kama mtu anataka msaada wangu kama nitaamua kumsaidia siyo lazima tuonane. Simwamini tu aisee....
Tili tili tili tili tili tili tili [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Yap...
Tena rahisi sana...
Usitishwe na big names za humu...
Ukigangamara na kugangamariwa unapata na kupatikana kama hauko makini...
Tayari...Hii dunia ya sasa waaminifu wamebaki wachache mnoo...ni vizuri kujua unaemsaidia au kuwasiliana nae nje ya mitandao si kila mtu ni mtu mzuri au anahitaji msaada wengine ni wanafki na wambea
Kazi kweli kweliHalafu watu humu wepesi sana kutoa namba zao za simu sijui kwa nini. Hata hao watu wa cyber law nadhani huwa wanajifanya mabinti tu na kujilengesha, unatoa namba basi wanakudaka. Hakuna nidhamu kabisa!
Mh, nijaribu lbd kunywa maji........Kunywa Maji
Shake body
Move body
Hizo za ISIS akifakamia damu huwa sizipendi kwa kweli...SASA mbona mimi siogopi na nina kaa mwenyewe nyumba nzima ufukweni!
Lakini ni apartment!
Zamani nilikuwa naogopa
Lakini my character I always find a way to conquer fear
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kamwe sipo tayari kumuumiza mwanamke(symbol ya upendo),mwanamke ndio asili yangu mimiWe Mzee ww haya
Tutajie Nani [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Possible mkuu tena kumuaminAhsante mkuu,umeniongezea jambo muhimu sana.Mimi nilijua ni familia moja hapa,kumbe unaweza ukaangushwa kwa dakika moja japo umehangaika kusimama kwa zaidi ya miaka kumi
Japo mzee mwezanguAhsante mkuu,umeniongezea jambo muhimu sana.Mimi nilijua ni familia moja hapa,kumbe unaweza ukaangushwa kwa dakika moja japo umehangaika kusimama kwa zaidi ya miaka kumi
Hahaha, hilo tabasamu...mmmhh! Nilikuja nione kunakuwaje ikiwa mapemamapema...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata asubuhi nilikuona babe s...
Mwamshe Mpare mpige stori. Muulize source ya Wapare kuwa wabahili namna hiyo ilitokana na nini....Usingizi umepaa......