Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Masaki aisee sijivungi...[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Na ww wa mbagala mwenzangu
Masaki lazima uende. Tu hakuna namna
How serious injury yaNi kugongeana tu
Dah......maneno kuntu hayo...LOL!![emoji16][emoji23][emoji3]
Kuijua thamani ya mwanamke wala haihitaji mtu awe na akili sana.Mfano wa kawaida tu,mama apike chakula kidogo na ghafla wageni wanafika,basi,atawalisha woote halafu yeye anajikosesha chakula.Unaakili sana
Bro mm hata manjemba
Kwa mabinti nadhani ni rahisi....
Hasa baada ya kupeana asali...
Kama binti yuko makini ataziona tu alama....
Lakini mapenzi ni upofu pia...
Na tongo tongo zikija kukuisha tayari ushaumizwa!
Na kesho kaziniYani majogoo yanawika na usingizi umegoma daah[emoji47][emoji47]
Siyo mbaya kateguka sijui mkono au kiuno au vyoteHow serious injury ya
Herrera.
Ng'ang'ana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ooooh tayari, ashindwi mutu hapa
We Mzee
Nitakupa ya ofisini...ttclNaomba namba basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko vizuri big upAaah mpare wangu hana madhara Cole.....dish liko mahali yake kbssaa[emoji6] [emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23]naninavyotaka maparachichi ya uyole [emoji23][emoji23][emoji23]acha tu...hebu nipe ka namba hako nije ubungo au waja na lindege[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kwa mfano next week nakuja huko,naamua kukubea mazagazaga,nitakupataje ili nikukabidhi?
Unafanyeje? Toa mbinu bro...Bro mm hata manjemba
Wenzangu nitakustukia tu kama
Ww ni manjegeka
Mimi pia ile ina ni vurugaTuko wachache humu aisee hata mazungumzo yamewezekana...
Kukichemka humu mtu unaweka comment dakika mbili unarudi unakuta kurasa saba tayari zimeshakimbia....
Asanteni nyote kwa upendo huu jamani...
Hebu nipe ujuzi unawajuajeMbona easy Tu.