mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha
Hizo za ISIS akifakamia damu huwa sizipendi kwa kweli...
Ila ukizingatia mtu nimekulia Koromije wakati mwingine unaachwa pekee nyumbani...
Ni kawaida tu...
DuhMkuu unamwaga mchele kwenye Kuku wengi unaharibu utaratibu
Kuna wahuni Na wasela mavi hovyo sanaPossible mkuu tena kumuamin
Mhuni ni mistake kubwa sana mhuni ni mhuni Tu.
ShimbaHahahahaha
Ugali kwa picha ya samaki
Mwamshe Mpare mpige stori. Muulize source ya Wapare kuwa wabahili namna hiyo ilitokana na nini....
Mpe Cole tu my princess andjul hapanaKwenye kutoa namba hapo dooh!zamani ilikua sitoi namba hovyo hovyo japo hadi sasa ila nature ya kazi unakuta namba zinabandikwa sehemu incase of emergency utafutwe jambo lililonilazimu kutafuta namba nyingine kwaajili ya shughuli zangu binafsi...sitoi namba hadi nijue umuhimu wake[emoji23][emoji23]sasa humu hatujuani naanza tu kutoa namba daah
YupHeheee!!
AMUN RAAMUN RA
Uchumi ndio ulipo zaliwaUgali kwa picha ya samaki
Well said broNi lazima kutofautisha maisha ya ya mtandaoni na maisha halisi - hasa kama una malengo. Na maisha haya yakiingiliana basi yaingiliane kwa uangalifu na katika ukweli. Mtandaoni huku pia kuna waliopata wenzi bora kabisa pamoja na fursa nzuri za kibiashara zilizowatoa kimaisha. Yote kwa yote ni kuwa mwangalifu na kutoamini watu mapema bila tahadhari - hasa wakati huu ambapo upendo miongoni mwa watu umepoa sana!