Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
ho chi minh yupo nimetoka kumsalimia ikwiriri japo majukumu bado yamemkamata huyu mdogo wanguHapa ni safi, tulikumiss kwa takribani masaa 36 hivi, tunashukuru leo tumeungana nawe, usiku uliopita tuliungana na member wetu hapa, mpiga picha wetu, yani kipenzi chetu "numbisa" kwahiyo furaha yetu inaendelea. kwa sasa hatujajua mahali alipo mchina wetu ho chi minh
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahhahaahahahDogo jana nilifadhaika sana,yaani mimi na ho chi minh hatuja vaa naniliuu,yaani dude izi auti. Linasubiria kuamshwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana usumbufu kwenye mazizi yetu umepungua!!! Unakula wake za watu walio kwenye maugombi??? Wewe ni mbaaayaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Majukumu huku kibiti ni njema sana.
Sema nasuluhisha kesi za ndoa tu hamna kingine kibiti amani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umerudi au ni kivuli chako toka kifungoni.Nzuri kabisa,za kibiti?
Nasikia noah yako ya brown[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi zile noah zimefika ngp tena kila mtu. 2 au?
Nini tena mama kamtima yangu kamejaa wasi wasi kusikia hivyoSi nzuri sana
HahahahhahahajjajajjDogo jana nilifadhaika sana,yaani mimi na ho chi minh hatuja vaa naniliuu,yaani dude izi auti. Linasubiria kuamshwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hizi mbio za kukimbiza hela ya karatasi kwenye upepo huu wa KUSI acha kabisa,kuna muda zinasombwa na kimbunga hata hazionekani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaanza kuzitafuta kwa kipofu's style[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwema kabisa vipi ni Kibiti inakuweka busy hivyo??
Numbisa mbaya sana. Hataki kuliamsha du deeeeee, kulimasha dudeeeeDogo jana nilifadhaika sana,yaani mimi na ho chi minh hatuja vaa naniliuu,yaani dude izi auti. Linasubiria kuamshwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo mzee hawezi kukaa kibiti huku mi mwenyekiti huku mbona si taarifa zakeKwema kabisa vipi ni Kibiti inakuweka busy hivyo??
Ulishamaliza mitihani yako ya skuliBora mimi na Kuku wangu wala sijuii ajira nini.
Numbisa mbaya sana. Hataki kuliamsha du deeeeee, kulimasha dudeeee