Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakija wote hao lazima kazi zidorore maofisini
Mungu akaendelee kuudhihirisha ukuu wake[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mipango yangu yote inakwenda kutimia
Moudgulf achana na Kaandjul kwenyewe ndio kapo shule. Mimi na mikanjuni hii ya TAIRI TATU kitambo sana
ACACIA Bado hawajaingia chumba cha majadilianoHivi zile noah zimefika ngp tena kila mtu. 2 au?
Kama kawqida mpela mpela
Hahahah wazee wa kibiti
Hahaha ni sawa na kusubiria mtumbwi steshenMimi nasubiri Noah yangu
Lakini naona kama inaota mbawa
Ndio nakuambia sasa mimi mfugaji bwanaDogo umesema???? Watch it....
Huyu ndio alikuwa muoga muoga maana kuna mmoja nilimrudisha huko[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alikuja kutuliza ghasia tu ndio karudi Daslama
Good pata like sasaSafi kabisa kiongozi
Thank u so much. Miss u tooMorning hu, nimemuona tulimmiss na nilimiss picha zake.......