Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

de779d6c488101c41056b147096ad997.jpg
hizi avatar zingekua sio feki halafu ukute member ana sura kama hiyo!! tungeuana humu ndani
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu mbona kwenye uzi wao ule umekimbia??njoo ujibu maswali yetu basi
Hadi sasa hivi Mimi sielewi ujue, sijaona pahala nilipokimbia.

Embu naomba ukapitie na uone ikiwa sijamjibu mtu.

Na palipo na swali la msingi , naomba unionyeshe ambalo sikujibu.

Zaidi, baada ya kujibu, naona wakakimbia mada

Please naomba ukacheki then unipe mrejesho
 
Back
Top Bottom