andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkuu ume like -wa? Pata like nyingineUkiingia kwa kupitia web utaziona zote, app ndio inaonyesha mwisho tano tu, sijui kwanini!!!
Mkuu ume like -wa? Pata like nyingineUkiingia kwa kupitia web utaziona zote, app ndio inaonyesha mwisho tano tu, sijui kwanini!!!
Mwaga umwagiwe.Nataka nimzidi Nyanyi Ngabu kwa like, nimwagieni hapa wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23]hizi avatar zingekua sio feki halafu ukute member ana sura kama hiyo!! tungeuana humu ndani
Pugu secMkwawa secondary( complex casino)
Upo vizurNikiingia humu narudi post za nyuma nilikoishia nagonga likes mpaka mwisho then ndio naanza kucomment
Umerudi kwa utaratibu mzuriNikiingia humu narudi post za nyuma nilikoishia nagonga likes mpaka mwisho then ndio naanza kucomment
Benjamin mkapaMagamba secondary
Tuongee na mods waanze kutulipa izi likesNashangaa nakuona huku[emoji23]
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha acha Mkuu, wewe sio everlenk kweli???????Haujambo aleyn!! Kitambo sijakutia machoni, barca hawajambo?
Kinondoni muslimBwiru secondary
Hapo sawa mkuu kama Mimi ninavyofanya ni mwendo wa likeUpo vizur
Kula likeshizi likes nooma