Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu mbona kwenye uzi wao ule umekimbia??njoo ujibu maswali yetu basi
Hadi sasa hivi Mimi sielewi ujue, sijaona pahala nilipokimbia.

Embu naomba ukapitie na uone ikiwa sijamjibu mtu.

Na palipo na swali la msingi , naomba unionyeshe ambalo sikujibu.

Zaidi, baada ya kujibu, naona wakakimbia mada

Please naomba ukacheki then unipe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…